KARIBU PIUS COLLEGE

Habari Rafiki yangu mpendwa uliyeamua kujiunga na CHUO hiki maalumu kabisa kinachopatikana mtandaoni, umefanya jambo jema sana kuchukua hatua moja kusonga mbele kwenye maisha yako.

Katika chuo hiki kwa sasa utajifunza vitu viwili (2) vikubwa;

  1. UTENGENEZAJI WA BIDHAA MBALIMBALI ZA VIWANDANI KWA VITENDO (kama sabuni ya mche, sabuni ya maji, sabuni ya unga, chaki, shampoo n.k)
  2. JINSI YA KUTUMIA MTANDAO KUTENGENEZA PESA BILA KIKOMO.

Angalia maelekezo ya Manager wa chuo hiki cha PIUS COLLEGE akitoa utaratibu wa kufanya masomo hayo hapa chuoni.
(NB: samahani dakika 1 video imestack lakini sauti inasikika, baada ya dakika ya kwanza utaweza kusikia na kuona video vizuri, ni tatizo la kiufundi)

[ Kama video hazifunguki tafadhari nenda playstore ukadownload internet browser inayoitwa CHROME itafungua video vizuri kabisa ]

Ili kuingia darasani ni lazima uwe na NENO LA SIRI (password) kama umehamasika kujifunza tafadhari omba neno la siri kwa mmiliki wa chuo hiki kwa kuandika meseji whatsapp 0717375782 na atakupatia neno lako la siri kuingia darasani na utatakiwa kulitunza ili likusaidie kuingia mara kwa mara. Baada ya kupata neno la siri utabonyeza kati ya namba hizi chini kulingana na chaguo la darasa lako.

Unaweza sasa kusikiliza utaratibu wa kuingia katika darasa la JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI katika video hii hapa chini.
(NB: samahani dakika 1 video imestack lakini sauti inasikika, baada ya dakika ya kwanza utaweza kusikia na kuona video vizuri, ni tatizo la kiufundi)

Sikiliza video hii ya utangulizi na kama utaona inafaa kuingia katika kozi hii utalipia sh.10,000/- kwa siku ya leo mpaka ijumaa badala ya sh.20,000/- ya awali

Kwa mawasiliano whatsapp tu | 0717375782

KARIBU.

Kwa video zaidi mwanzo mpaka mwisho bonyeza hapa chini kuingia darasani.

Bonyeza namba yoyote hapa chini kulingana na chaguo lako.

  1. BONYEZA HAPA KUINGIA (UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI) [lipia sh. 10,000/- kwa no. 0754745798 au 0657128567-PIUS MULIRIYE upate password ya kuingia darasani, ukishalipia niandikie meseji kwa moja ya namba hizo na utapokea neno la siri utakalotumia kuingia darasani]
  2. BONYEZA HAPA KUINGIA DARASA LA JINSI YA KUTUMIA MTANDAO KUTENGENEZA KIPATO. (INTERNET) BURE
  3. JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI
  4. JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI.